Matthew 14:22

Yesu Atembea Juu Ya Maji

(Marko 6:45-52; Yohana 6:15-21)

22 aMara Yesu akawaambia wanafunzi wake waingie kwenye mashua watangulie kwenda ngʼambo ya bahari, wakati yeye alikuwa akiwaaga wale makutano.
Copyright information for SwhNEN